Kampuni za kamari kuanza kutuma maombi ya leseni

  • | Citizen TV
    338 views

    Kampuni za michezo ya kamari sasa zinaweza kuanza kutuma maombi ya leseni za mwaka wa kifedha wa 2024/2025. Haya yanajiri wakati Bodi ya Kudhibiti na Kutoa Leseni za Kamari imezindua Mfumo mpya wa Kusimamia Michezo hiyo. Hii ni katika juhudi za kurahisisha ukusanyaji wa mapato ya taifa wa Mamlaka ya ushuru KRA.