Kanisa la Kiangikani laendelea kushikilia msimamo wa kuwazuia wanasiasa kuwahutubia waumini

  • | K24 Video
    185 views

    Kanisa la Kiangikani limeendelea kushikilia msimamo wake wa kuwazuia wanasiasa kuwahutubia waumini kanisani. Hii leo katika kanisa hilokaunti ya Nyeri kwa mara nyingine naibu wa rais Rigathi Gachagua na wandani wake walikosa nafasi ya kuwahutubia waumini, Askofu mkuu wa kanisa hilo Jackson Ole Sapit amesisitiza huu ndio utaratibu utakaofutwa katisa kanisa hilo