Kanisa lawataka vijana kusitisha maandamano

  • | KBC Video
    5 views

    Viongozi wa kidini wametoa wito kwa vijana kusitisha maandamano yanayoendelea baada ya rais kukubali kuwasikiliza kuhusu mswada wa fedha wa mwaka 2024. Kwa mujibu wa wachungaji hao, wakati umewadia wa kupatia mazungumzo ya kina nafasi. Pia wamewataka polisi kujizuia kutumia nguvu kupita kiasi wanapokabiliana na waandamanaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive