Kanja asema polisi wanakabiliwa na hali ngumu kazini

  • | Citizen TV
    399 views

    Inspekta Jenerali Douglas Kanja amesifia juhudi za maafisa wa polisi kukabiliana na uhalifu katika sehemu mbalimbali nchini na haswa maeneo ambayo ni hatari.