Kapu La Biashara: Wakulima wa kahawa wapokea mafunzo

  • | KBC Video
    4 views

    Kenya inapania kujumuisha matumizi ya Akili Mnemba katika sekta zote za kiuchumi katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Kwa mujibu wa mkakati uliozinduliwa leo na ambao utekelezaji wake utagharimu shilingi bilioni 150, waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali William Kabogo ameondoa hofu kwamba Wakenya watapoteza ajira kutokana na matumizi ya teknolojia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive