Karakana ilivyotikiswa na tetemeko la ardhi Vanuatu

  • | BBC Swahili
    24 views
    Tazama video hii ikionesha wakati tetemeko la ardhi la kipimo cha 7.3 lilivyopiga Vanuatu na kulazimisha watu kukimbia kwa usalama wao. #bbcswahili #vanuatu #portvilla Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw