Karata Za 2027; Gachagua Apanga Upinzani Dhidi Ya Rais Ruto

  • | TV 47
    3,447 views

    Karata Za 2027; Gachagua Apanga Upinzani Dhidi Ya Rais Ruto

    Mgogoro wa kisiasa wa ushawishi katika eneo la mlima kenya kati ya Rais William Ruto na Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua bado unaendelea huku ukichukua mkondo mpya.

    Gachagua akigeza makao yake ya Wamunyoro kule nyeri kuwa eneo la kupanga mikakati ya kisiasa ambapo amekuwa akifanya mikutano ya kupanga wapinzani bora wa kuondoa viongozi walio mamlakani ambao wanamuunga mkono Rais Ruto.

    #UpeoWaTV47 #KCSE2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __