Karim Khan ayataka makundi yanayopigana DRC kufuata Sheria Ya Kimataifa

  • | Citizen TV
    1,340 views

    Kiongozi Wa Mashtaka Ya Jinai Katika Mahakama Ya Kimataifa Icc - Karim Khan Ameyataka Makundi Yanayopigana Mashariki Mwa Drc kufuata Sheria Ya Kimataifa.