Karisa Nzai Ahamasisha Wakenya Kujitokeza Kujiandikisha Katika SHIF

  • | TV 47
    4 views

    Karisa Nzai Ahamasisha Wakenya Kujitokeza Kujiandikisha Katika SHIF

    Licha ya wasiwasi unaoendelea kudhihirishwa na wakenya wengi kuhusu mfumo mpya wa bima ya afya ya kijamii (SHIF), Mshauri Wa Kisiasa Katika Ofisi Ya Rais, Karisa Nzai, ameungana na viongozi wengine kushinikiza wakenya kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa 'SHA'.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __