Karua azindua chama cha People’s Liberation Party

  • | KBC Video
    144 views

    Viongozi wa upinzani wakiwemo Martha Karua, Kalonzo Musyoka, Eugene Wamalwa na Jimmy Wanjigi wamedhamiria kuungana na kuunda mrengo kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao waliozungumza wakati wa uzinduzi wa chama cha Karua cha People’s Liberation walikosoa halmashauri ya afya ya jamii na uratibu wa sasa wa ushuru, hali ambazo wanadai zinafanya maisha kuwa magumu zaidi kwa wakenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive