Katibu Belio Kipsang asema bajeti ya chakula shuleni itapunguzwa hadi shilingi bilioni 3

  • | Citizen TV
    102 views

    Katibu katika wizara ya elimu idara ya chekechea Belio Kipsang, ameileleza kamati ya bunge kuhusu utekelezaji kuwa bajeti ya mpango wa chakula shuleni imepunguzwa hadi shilingi bilioni tatu kutoka bilioni 5.4 zilizotolewa mwaka uliopita. Kulingana naye, pesa hizo hazitoshi na hivyo itailazimu wizara ya elimu kuzingatia shule ambazo zina mahitaji zaidi ya chakula kama maeneo kame.