Katibu Malala apinga madai ya sifuna kuwa UDA ilihusika katika vita vilivyoshuhudiwa kaunti ya Kisii

  • | K24 Video
    144 views

    Katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala amepinga madai ya katibu wa chama cha ODM edwin sifuna kuwa UDA ilihusika katika vita vilivyoshuhudiwa katika hafla ya kuchangisha pesa kanisani kaunti ya Kisii. Akizungumza na wanahabari hii leo Malala amesema kuwa madai ya ODM sio ya kweli huku akiitaka ODM ikome kuhusisha UDA katika migogoro inayokumba chama