Katibu mkuu wa shirika la UN Antonio Guterres azitaka pande husika kuheshimu uhuru wa taifa la DRC

  • | Citizen TV
    1,255 views

    Katibu mkuu wa shirika la umoja wa mataifa Antonio Guterres amezitaka pande husika kuheshimu uhuru wa taifa la DRC, sheria za kimataifa na haki za kibinadamu. Guterres amesema kuwa huu sio wakati wa vita bali wa kufanya mazungumzo ili kutafuta amani. Haya ni huku waasi wa M23 wakiendeleza mapigano kusini mwa jimbo la kivu.