Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala azindua mpango wa 'Gumzo Mtaani'

  • | Citizen TV
    1,536 views

    Katibu Mkuu wa chama cha UDA, Cleophas Malala Amewataka magavana nchini kuiga mfano wa rais William Ruto na kufutilia mbali afisi za wake wao.Akizungumuza eneo la Butali katika kaunti ya Kakamega, Malala amesema kuw ahatua hiyo itapunguzia kaunti mzigo wa mishahara na kutoa nafasi kwa pesa zinazotengewa ofisi hizo kutumiwa kufanikisha miradi ya maendeleo.