Katibu ya Huduma za afya aendelea kutetea mfumo mpya bima ya Afya SHA kutoka NHIF

  • | NTV Video
    88 views

    katibu wa huduma za afya harry kimtai ameendelea kutetea mfumo mpya wa bima ya afya ya kitaifa akisema hitilafu zilizotokana na kuhamishwa kutoka nhif hadi shif zinaendelea kutatuliwa na madeni ya hospitali chini ya nhif zitalipwa na sha. hadi sasa wizara ya afya inasema imelipa shilingi bilioni 9 kwa hospitali tangu kuzinduliwa kwa sha, brygettes ngana na maelezo zaidi

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya