Kauli kali zatolewa nchini Kenya dhidi ya waliowafyatulia risasi

  • | BBC Swahili
    500 views
    Kauli kali zimetolewa nchini Kenya baada ya uchunguzi wa BBC kuhusu maafisa wa usalama waliowafyatulia risasi waandamanaji walioshiriki maandamano ya kupinga mswada wa fedha mwaka 2024. Kwa haya na mengine mengi kuhusu shinikizo kwa serikali ya Kenya kuwajibika kwa mauaji ya waandamanaji, ungana na Hamida Abubakar mubashara saa 3 usiku saa za Afrika Mashariki katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #kenya #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw