Kaunti, serikali kuu hazijaonyesha uwajibikaji kuhusu maji

  • | Citizen TV
    96 views

    Washika dau katika sekta ya maji na usafi wamelalamikia ukosefu wa uwajibikaji wa serikali kuu na zile za kaunti katika utoaji wa huduma za maji kwa wananchi.