Kaunti ya Busia yasema hospitali za umma hazina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa

  • | Citizen TV
    226 views

    Waziri wa afya wa kaunti ya Busia Arthur Odera amekiri kuwa hospitali za Umma mbalimbali hazina uwezo wa kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji huduma za dharura, siku chache tu baada ya wanafunzi wa shule ya upili ya wavulana ya Kolanya kuhusika katika ajali...