Kaunti ya Homabay yachukua hatua ya kukabiliana na mimba ya utotoni

  • | KBC Video
    4 views

    Kaunti yaHoma Bay imeimarisha ushirikiano na wadau mbali mbali kuboresha afya ya hedhi kwa kuweka mbinu za kupunguza idadi ya mimba za utotoni katika eneo hilo.Akihutubia wakazi na wanafunzi katika shule ya msingi ya Kotieno katika kaunti ndogo ya Rachuonyo, waziri wa masuala ya jinsia, Sarah Malit alisisitiza umuhimu wa kukomesha mimba za utotoni na kuimarisha afya ya hedhi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News