Kaunti ya Kajiado imepungukiwa na vituo vya kutoa huduma za mifupa

  • | Citizen TV
    40 views

    Ukosefu wa vituo vya kutibu magonjwa ya mifupa bado ni changamoto kuu katika kaunti ya kajiado huku wagonjwa wakilazimika kutafuta huduma hizo katika kuanti zingine