Kaunti ya Kiambu yaahidi kuwanunualia wanafunzi vitabu na vifaa vya kusomea

  • | Citizen TV
    138 views

    Serkali Ya Kaunti Ya Kiambu Imetangaza Kuanzisha Mpango Maalum Wa Kuwapa Wanafunzi Wote Wa Shule Za Chekechekea Katika Kaunti Hiyo Vitabu Vya Bure Pamoja Na Vifaa Vy Kutumia Shuleni Ili Kuwasaidia Katika Masomo