Kaunti ya Kilifi yaanzisha awamu ya pili ya kufadhili miradi

  • | Citizen TV
    244 views

    Zaidi ya vikundi 100 kutoka kwa jamii zisizojiweza eneo la rabai kaunti ya Kilifi vinatazamia kuvuna pakubwa na kubadilisha hali yao ya kiuchumi kufuatia kuanzishwa kwa mradi wa samaki unaoendeshwa na kaunti ya Kilifi na kufadhiliwa na Benki ya Dunia.