Kaunti ya Kwale inasema imelipa madeni yake

  • | Citizen TV
    193 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale imesema imejitahidi kulipa madeni yote waliokua wanadaiwa na wasambazaji wa dawa za hospitali licha kucheleweshwa kwa mgao wa fedha za kaunti kutoka serikali kuu.