Kaunti ya Makueni kuanzisha mradi wa STAWI kusambaza maji

  • | Citizen TV
    97 views

    Serikali ya Makueni itashirikiana na mradi wa STAWI ulioko chini ya shirika la USAID kukabiliana na uhaba wa maji katika mji wote.Miradi mitatu inatajiwa kuboreshwa kwenye mto Kaiti na bwawa la Kamunyulo kuhakikisha wakaazi wa mji huo wanapata maji safi.