Kaunti ya Makueni kuorodhesha watu wanaoishi na ulemavu

  • | Citizen TV
    97 views

    Serikali ya kaunti ya makueni imeanzisha sensa ya wanaoishi na ulemavu na wakazi walio na mahitaji maalum ili kuweka mikakati ya kuwasaidia. Haya ni huku wazazi walio na watoto wenye ulemavu wakitakiwa kutowaficha watoto hao nyumbani na badala yake kuhakikisha wamesajiliwa ili wapate msaada na elimu.