Kaunti ya Makueni kwa ushirikiano na UNICEF zaimarisha lishe kwa watoto

  • | Citizen TV
    18 views

    Serikali ya kaunti ya Makueni kwa ushirikiano na shirika la watoto la UNICEF na lile la kuunda mtaala wa elimu KICD wamefanya hamasisho kwa waalimu wote wa chekechea kaunti ya Makueni kuhusiana na lishe bora kwa watoto walio chini ya miaka mitano