Kaunti ya Makueni yajenga mabwawa ya maji yanayohifadhiwa kwa mchanga

  • | Citizen TV
    26 views

    Mabwawa ya maji ambayo hutumia mchanga kuhifadhi maji yamesaidia kutatua tatizo la uhaba wa maji katika maeneo mengi ya kaunti ya Makueni. Na kama anavyoarifu Michael Mutinda, serikali imetakiwa kuweka sheria nzuri za kudhibiti uzoaji mchanga ili kuhifadhi rasilmali hiyo.