Kaunti ya Trans Nzoia kujenga uwanja wa Kenyatta mjini Kitale

  • | Citizen TV
    1,052 views

    Viwanja viwili vinavyojengwa katika kaunti za Bunguma na Trans Nzoia, vinanuia kuimarisha vipaji yya michezo katika eneo la magharibi. Kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, wataalamu wanataka kuhusishwa ili kuhakikisha vinakamilishwa kwa kufuata viwango vya kuandaa mashindano ya kimataifa.