Kaunti ya Wajir yaendeleza juhudi za kudhibiti maambukizi ya Kala-azar

  • | Citizen TV
    151 views

    Kaunti ya Wajir imepiga hatua za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa hatari wa kala-azar ambao kufikia sasa umeangamiza watu 29 katika kaunti hiyo