Kaunti zaanza kuweka mikakati ya kusitisha mgomo wa matabibu

  • | KBC Video
    14 views

    Chama cha matabibu nchini kimethibitisha kujumuishwa kwa vituo 1,200 vya afya vilivyosajiliwa na zaidi ya matabibu 8,000 katika halmashauri ya afya ya jamii kama ilivyoagizwa na baraza la magavana nchini siku ya Jumatatu. Hata hivyo, chama hicho kinasisitiza kwamba mgomo huo ungalipo hadi baraza lao la ushauri litakapotoa mwelekeo . Akizungumza na runinga ya KBC Channel One, katibu wa chama hicho George Gibore amefichua kuwa jopo limebuniwa na baraza hilo la magavana kwa mazungumuzo kuhusu mkataba wa maelewano wa mwaka 2017 wiki ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive