Kazi Ni Kazi: Hela Mchangani

  • | KBC Video
    13 views

    Upanzi wa miti ni mojawapo wa mipango ya serikali inayonuiwa kusaidia katika udhibiti wa mabadiliko ya tabia nchi. Kwenye makala ya leo ya Kazi ni Kazi, mwanahabari wetu Fredrick Muoki aliungana na Charles ambaye amekumbatia biashara ya kuuza aina tofauti ya miche. Tazama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive