Kazi ni Kazi I Msanii Ishmael Changawa

  • | KBC Video
    48 views

    Muziki ni mojawapo ya sanaa ambazo hutumiwa na wengi kwa sababu mbali mbali ikiwemo kujituliza hasa wakati wa msongo wa mawazo. Ishmael Changawa ni kijana aliyeamua kugura kazi ya uchezaji tenisi na kukumbatia muziki ili kuboresha maisha yake. Ndiye msanii ambaye Fredrick Muoki anamwangazia kwenye makala ya Kazi ni Kazi juma hili, Tazama!

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News