Kazi ni kazi : Msusi Mlemavu

  • | KBC Video
    8 views

    Ni bayana kuwa Kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa mapishi. Hii ni kauli inayoonekana kumchachawiza mwanamke mmoja ambaye licha ya kutokuwa na uwezo wa kusikia, hakukata tamaa ya kutimiza ndoto yake. Josphine Kakoma ambaye amebobea katika kazi ya ususi sasa ni mmiliki wa biashara ya urembo mtaani Utawala.Fredrick Muoki anamwangazia kwenye makala ya yetu ya Kazi ni Kazi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive