Kazi ni kazi : Sanaa ya tunu na ujuzi wa kuchonga mawe

  • | KBC Video
    3 views

    Katika ulimwengu wa leo, vijana wanakumbatia mbinu mbali mbali za kujipatia tija. Kwenye makala ya yetu ya Kazi ni Kazi Fredrick Muoki alitagusana na mjasiriamali chipukizi aliyepatia ujuzi wa kuchonga mawe na tunu kutoka kwa wazazi wake na sasa anamiliki biashara ya Sanaa iliyobadili maisha yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive