kazi ni kazi : Utengenezaji shanga

  • | KBC Video
    1 views

    Wanasema atafutaye hachoki na akichoka ashapata. Hii ni kauli iliyompa hamasa Martin Ndung’u ambaye ubunifu wake umemwezesha kujipatia riziki kutokana na sanaa ya uchoraji na utengenezaji shanga. Hayo ni kwenye makala yetu ya Kazi ni Kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive