- 15 viewsDuration: 1:34Shirika la kitaifa la utangazaji la KBC limeanza mazungumzo na serikali ya kaunti ya Siaya kwa lengo la kuafikia mkataba utakaolifanya shirika hili kuwa mshirika mkuu wa upeperushaji matangazo kuhusu kongamano lijalo la biashara na Uwekezeji, litakaloandaliwa mjini Siaya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive