KDF wameporomosha jengo la ghorofa 11 lililokuwa likizama Mombasa

  • | KBC Video
    57 views

    Wanajeshi wa ulinzi, KDF, wameporomosha jengo la ghorofa 11 mjini Mombasa, ambalo lilikuwa likizama. Hakuna mtu aliyejeruhiwa wakati wa shughuli hiyo, kwani watu kutoka majumba yaliyo karibu walikuwa wameagizwa kuondoka

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive