Kenya inahitaji kuondoa marufuku ya mikataba ya ununuzi wa kawi

  • | KBC Video
    28 views

    Kenya inahitaji kuondoa marufuku ya mikataba ya ununuzi wa kawi ili kuwezesha taifa hili kuafikia mpito wa asilimia 100 wa kawi safi ifikapo mwaka 2030. Mkurugenzi wa halmashauri ya kudhibiti kawi na mafuta, Daniel Kiptoo, amesema hifadhi ya umeme humu nchini inapungua huku hitaji likiongezeka kila uchao. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo chetu cha habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive