Kenya kuhudhuria kongamano la TICAD Japan

  • | KBC Video
    21 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ametangaza kuwa Kenya itashiriki katika kongamano la kitaifa la Tokyo kuhusu maendeleo barani Afrika litakaloandaliwa jijini Yokohama, Japan kuanzia tarehe 20 mwezi Agosti hadi tarehe 22 mwezi Agosti mwaka huu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive