Kenya na Ethiopia kushirikiana kuboresha bandari ya Lamu

  • | KBC Video
    28 views

    Rais William Ruto ametangaza makubaliano mapya kati ya Kenya na Ethiopia yanayolenga kuimarisha bandari ya Lamu kuwa kitovu cha usafiri wa Meli katika kanda hii. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa kawi ya miale ya jua katika kisiwa cha Ndau eneo la Lamu Mashariki, Rais Ruto alifichua kwamba Ethiopia, itatumia bandari ya Lamu kuagiza bidhaa, na hivyo kusaidia kubuni nafasi za ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi wa kikanda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive