Kenya na Uganda zapambana na uhalifu mipakani

  • | KBC Video
    52 views

    Takriban njia 200 haramu zilifungwa huko Busia kufuatia kupelekwa kwa maafisa wa usalama kwenye eneo la kilomita 57 kati ya mpaka wa Kenya na Uganda kulingana na Wizara ya usalama wa taifa. Kundi hilo linalojumuisha maafisa wa usalama kutoka kitengo cha GSU, Vikosi vya Ulinzi vya Kenya na kile cha Polisi wa kawaida hushika doria kwenye vituo vya kuingilia mpakani vilibaini kuwa njia haramu zilitumiwa kuingiza stakabadhi ghushi na dawa za kulevya nchini. Abdiaziz Hashim na maelezo zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive