Kenya na Ujerumani kutekeleza mpango wa kuhimili ukame kaunti za Turkana na Marsabit

  • | KBC Video
    62 views

    Kenya kwa ushirikiano na Ujerumani zinatekeleza mpango wa shilingi bilioni mbili wa kuhimli ukame katika kaunti za Turkana na Marsabit, ambapo zaidi ya watu milioni tatu wameathirika na kiangazi cha muda mrefu. Mpango huo unalenga kupunguza umaskini, kuhakikisha chakula cha kutosha kinapatikana na kukuza ukuaji endelevu wa kiuchumi ikiwa ni moja ya sekta zilizoathirika zaidi na ukame na idai ya watu. Tayari ujenzi wa mabwawa mawili umekamilika katika kaunti ya Turkana yakitarajiwa kuzinduliwa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News