Kenya na Ujerumani zaafikiana kuhusu ajira ughaibuni

  • | KBC Video
    10 views

    Waziri wa leba masuala ya kijamii Dkt. Alfred Mutua alisema serikali inapania kuanzisha mfumo wa kukadiria mashirika ya uajiri ili kuimarisha uwajibikaji na kuwalinda wakenya wanaotafuta kazi. Akizungumza kwenye maonyesho katika Kaunti ya Nairobi wakati wa ufunguzi rasmi wa Kongamano kuhusu ajira kati ya kenya na Ujerumani, Dkt Mutua alisisitiza haja ya uadilifu katika sekta hiyo akiyaonya mashirika ya uajiri dhidi ya ulaghai.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive