Kenya yafanya mazoezi ya mwisho

  • | Citizen TV
    220 views

    Timu ya taifa ya soka kwa wasichana chini ya miaka 17 Junior Starlets imekamilisha maandalizi yake tayari kuivaa Mexico kwenye mechi yao ya mwisho ya kombe la dunia.