Kenya Yaingilia Kesi Ya Kunyongwa Kwa Nduta Nchini Vietnam Kwa Madai Ya Kusafirisha Dawa Za Kulevya

  • | TV 47
    1,193 views

    Kenya Yaingilia Kesi Ya Kunyongwa Kwa Nduta Nchini Vietnam Kwa Madai Ya Kusafirisha Dawa Za Kulevya

    Katika juhudi za kuokoa maisha ya mkenya Margaret Nduta aliyepatikana na dawa za kulevya nchini Vietnam, serikali imesema kuwa inafanya iwezalo ili kumnusuru mkenya huyo ambaye anaratibiwa kunyongwa hapo kesho kutokana na kumiliki dawa haramu katika taifa hilo.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __