Kenya imepiga hatua katika uwezo wake wa kuzuia, kuchunguza pamoja na kukabiliana kikamilifu na kuenea kwa magonjwa yanayoambukizwa baina ya mifugo na binadamu. Haya yanafuatia kuzinduliwa kwa miongozo miwili muhimu, wa kwanza ukiwa ni mpango wa kukabiliana na homa ya Rift Valley na mwingine ukiwa ule wa kupambana na ugonjwa wa Brucellosis. Miongozo hiyo mipya inatarajiwa kuimarisha uratibu katika sekta mbalimbali pamoja na kulinda maisha pamoja na riziki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive