Kenya yapokea tena swara aina ya mountain bongo 17

  • | K24 Video
    62 views

    Kenya inaendelea na juhudi za kurejesha wanyamapori waliochukuliwa wakati wa mkoloni. Kenya imepokea tena swara aina ya mountain bongo 17, kizazi cha tatu cha aina hii adimu ya swara ambao walichukuliwa mwaka wa 1960. wanyama hao waliletwa kutoka kituo cha uhifadhi wa wanyama kilichoko Marekani jumapili jioni na sasa wamewekwa karantini huko Meru.