Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Figo Duniani

  • | KBC Video
    12 views

    Kenya leo, imeadhimisha Siku ya Figo Duniani ikilenga kuongeza ufahamu kuhusu afya ya figo na hitaji muhimu la upandikizaji wa figo. Tukio hilo limeibua wito wa maendeleo ya haraka katika kukamilishwa kwa Mswada wa Huduma ya Upandikizaji nchini ambao ungefungua njia ya upandikizaji wa figo kwa kutumia viungo vya watu waliofariki. Haya yanajiri huku mamlaka za afya nchini zikipongezwa kwa juhudi zao hasa katika kuboresha huduma za baada ya upasuaji kwa wagonjwa waliopandikizwa figo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive