KEPHIS yahamasisha wakulima kuhusu umuhimu wa kutumia mbegu bora eneo la Rombo

  • | Citizen TV
    99 views

    Shirika la kutadhimini ubora wa Mimea nchini - KEPHIS - limeendeleza Kampeni ya kuwahamasisha wakulima katika eneo la Rombo kaunti ya Kajiado kuhusu umuhimu wa kutumia mbegu bora ili kuimarisha mazao yao shambani.