Kesi 146 za serikali za kaunti zasilishwa EACC

  • | Citizen TV
    254 views

    Afisa mkuu wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC Abdi Mohamud ameambia kamati ya seneti katika bunge la seneti kuwa kesi 146 za serikali za kaunti ziliwasilishwa kwa ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka kwa hatua